The House of Favourite Newspapers

NECTA Yafuta Matokeo ya Watahiniwa 57 Kidato cha Nne

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limeyafuta matokeo ya watahiniwa 57 wa Shule ya Sekondari ya Tumaini Lutheran baada ya kubainika kuwa walifanya udanganyifu wa mtihani wa taifa wa Kidato cha Nne, Novemba 2018.

Kutazama Matokeo ==> Bofya Hapa

au INSTALL GLOBAL APP KUTAZAMA VIZURI

==>

==>

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.