Nedy Music ft Christian Bella – Rudi ( Official Music Video )

Hapa nimekuwekea video ya Wimbo mpya wa msanii wa Bongo Fleva, Neddy music uitwao ” RUDI “. Ndani amemshikilisha mkali wa Masauti AfrikaMashariki na Kati, Christian Bella ‘Obama’.

Ngoma hiyo imetengenezwa na Lovely African Tune Produced kupitia mikono ya Abbydady huku Video ya wimbo huo imeshutiwa hapa hapa nyumbani Tanzania na Super Tale.

Toa comment