Neema Wambura Amshukuru Rais Magufuli Kwa Kumsaidia, Awapongeza Madaktari Muhimbili
Mgonjwa Neema Wambura ambaye alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) amemshukuru Rais John Pombe Magufuli baada ya afya yake kuimarika na kuruhusiwa leo kurejea nyumbani.
Comments are closed.