The House of Favourite Newspapers
gunners X

Nelly Muosha Magari wa Posta-16

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale sharobaro Nelly alipomuomba Atu aliyekuwa kalewa ainuke kisha amfuate kwenda chumbani alikotaka wakakae faragha ambapo dada huyo alinyanyuka na kumfuata kwa nyuma kama mwanakondoo aliyekuwa akipelekwa malishoni. Je, baada kuingia chumbani nini kilifuatia? SONGA MBELE NA UTAMU HUU…

Baada ya kuingia chumbani, Nelly aligundua kwamba alibaki na fedha kidogo ambazo zisingetosha kulipia chumba, akamuacha Atu akiwa kajibwaga kitandani na kumfuata mhudumu wa mapokezi.

Alipofika aliomba amwazime simu yake, alipopewa akampigia fundi Yassin na kumuomba amuongezee shilingi elfu kumi na tano kwani bila kufanya hivyo angeumbuka mtoto wa kiume.

Kufuatia ombi hilo, Fundi Yassin aligundua kuwa Nelly alikuwa amepungikiwa na fedha ndipo akamuuliza hizo fedha angemtumiaje wakati hakuwa na simu akamwambia atume kupitia namba ile ya mhudumu.

Baada ya kuhakikishiwa atatumiwa fedha hizo, Nelly alifurahi na kupata nguvu za kwenda kumuumiza kiumbe wa watu, alipomaliza kuzungumza na Fundi Yassin alimfahamisha mhudumu kwamba fedha hizo zikitumwa akate shilingi elfu saba ya rumu kisha nyingine atazichukua akimaliza kazi iliyokuwa mbele yake.

Alipotoa kauli hiyo, mhudumu aliishia kucheka ndipo sharobaro Nelson a.k.a Nelly alikwenda chumbani alikomuacha mtoto mzuri Atu ambapo alimkuta akiwa kajibwaga kitandani akisubiri kukabiliana na chochote ambacho angeambiwa na Nelly.
Kitendo cha sharobaro Nelly kumuona Atu akiwa amejibwaga kitandani kilimpa raha sana, akajisemea moyoni:

“Umekwisha kiumbe wewe, kumbe wala siyo msumbufu!”
Kufuatia nafasi hiyo ya dhahabu aliyoipata Nelly si naye akamfuata mtoto huyo wa kike, kwa utaalam wake akaanza kugusa kila eneo la hatari la Atu.

Kutokana na mautundu aliyofanyiwa na Nelly, Atu alikosa utulivu akawa anahema, akijipinduapindua huku na kule kama nyoka aliyemwagiwa mafuta ya taa jambo lililompa Nelly burudani ya aina yake.

Nelly alipomuona mtoto ameshalainika kama mlenda na anahema kwa fujo na yule hakuwa dada yake, akamnyonyoa manyoya yote naye akanyonyoa yake, akamchumu shavuni Atu kisha wakaanza kula mua a.k.a denda.

Walikwenda sambamba na zoezi hilo na kujikuta wakiwa katika ulimwengu mwingine, si sharobaro Nelly mpenda sifa sijui alimbanaje bwana mtoto wa watu, Atu akajikuta akipiga kigelegele cha raha na kupasua dafu lake ndipo naye Nelly akapasua lake na kumnywesha dada wa watu maji matamu yanayopendwa na watu wengi duniani na wewe msomaji ukiwa mmoja wao.

“Ila wewe mkaka ni balaa!” Atu alimwambia Nelly.
“Balaa la nini?” Nelly alimuuliza kwa kumtega.
“Sijapata kuona, yaani mh!” Atu aliishia kuguna.

“Kwani nimefanyaje si kawaida tu?” Nelly alimuuliza Atu.
Msichana huyo ambaye tangu aanze malovee hakuwahi kukutana na mwanaume mtundu kama alivyo Nelly, alimfagilia kwa namna alivyomfanyia na jinsi alivyoweza kupasua madafu mawili kabla hata ya mtanange na la mwisho lililokwenda sambamba na la Nelly.

Nelly aliishia kucheka na kumsifia msichana huyo kwamba naye alikuwa mjuvi wa malovee kisha akazivamia tena embe bolibo zake za mviringo na ndogondogo, akaanza kuziminya atakavyo na kumpagawisha kabisa mtoto wa watu akaibugia moja mdomoni na kuanza kuifyonza.

Kufuatia Nelly kumfanyia hivyo Atu, msichana huyo alikosa utulivu kabisa, akawa anahema na kuyazungusha macho pande zote za dunia huku kidole chake akiwa kaking’ata kama ananyonya pipi ya kijiti.

Sharobaro Nelly ambaye kitabia alikuwa hatofautiani na masharobaro wengine wanaopenda mambo ya mademu na kuvaa pamba za kijanja, alifurahishwa sana na mapozi ya Atu aliyekuwa amemdhibiti vilivyo.

Kijana huyo alipogundua angeweza ‘kumuua’ mtoto wa watu aliyekuwa kazidiwa kupita kiasi kwa utaalam wake wa malovee sijui alifanyaje bwana, si Atu akajikuta akilia kufuatia mziki mnene aliopewa na Nelly!

Nelly ambaye alijua kulicheza kandanda kwa mwendo kasi na wa haraka alimpelekesha Atu mpaka binti wa watu akajikuta akipasua dafu ndipo naye akalipasua lake na kumnywesha maji matamu tena yaliyomfanya avute pumzi na kuzishusha kisha akajilaza huko baada ya kuishiwa nguvu.

“Ila wewe mkaka noma!” Atu aliyekuwa kachoshwa kwa maji ya dafu aliyonyweshwa kitaalam na Nelly alimfungukia sharobaro huyo.

“Kwa nini unasema hivyo?” Nelly alimuuliza Atu.
“Da! Sijapata kuona, wewe ni mtaalam wa wataalam!” Atu alimwambia Nelly.
Kufuatia kauli hiyo, Nelly alimwambia utaalam wake ulikuwaje ndipo msichana huyo akamwambia aelewe tu kwamba alikuwa mtaalam jambo lililomfanya Nelly kumwambia;

“Jamani unaongea kwa mafumbo, utaalam gani?” Nelly alimwuliza Atu kwa kumtega.
Alipoulizwa hivyo, Atu alimsifia jinsi alivyokuwa anajua kufanya maandalizi na alivyompelekesha puta na kumtegea mpaka wakafika pamoja mwisho wa safari tena mara zote mbili.

“Kumbe umeinjoi eh?” Nelly alimuuliza Atu.
“Sana tena sana, yaani tangu nilipoanza haya mambo wewe ni mtu wa pili kunipa raha hiyo, da! Unaweza kwa kweli,” Atu alizidi kumfagilia sharobaro Nelly.

Kufuatia burudani aliyopewa, Atu alimuomba Nelly kama hatajali awe mtu wake wa kudumu ambapo sharobaro huyo alimuuliza itakuwaje kwa jamaa aliyekuwanaye?

Comments are closed.