Nelly Muosha Magari wa Posta-8

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale Nelly alipomshukuru Doreen kwa ukarimu wake huku moyoni akipania kumtongoza dada huyo mrembo kwa sababu hakuwa na sera za kuwaacha watoto wazuri kama huyo. Je, baada ya Nelly kumshukuru, Doreen alisemaje? Tuwe pamoja kwenye utamu huu…

“Usijali kaka fundi, kuwa huru, tena nilisahau kukuuliza. Hivi ulikunywa chai?” Doreen alimwuliza.

“Kwa kuwa nimekunywa hii juisi nzito nimeshiba, sihitaji chai,” Nelly alimwambia Doreen.

“Hakuna kitu kama hicho, ngoja nikuandalie maziwa na sambusa ili utakapokwenda kuendelea na kazi uwe na nguvu,” Doreen alimwambia Nelly kisha akainuka na kuelekea jikoni.

Kwa kuwa alipania kumpagawisha kijana huyo, wakati akielekea huko aliyatingisha kimitego makalio yake mapana, kitendo kilichomchanganya kabisa sharobaro Nelly.

“Hakika nikiondoka hapa bila ya kumsomesha huyu mtoto mkali dhamira yangu itanisuta sana, siwezi kufanya upuuzi huo hata siku moja ukizingatia wanawake wameletwa duniani kwa ajili yetu wanaume,” Nelly aliwaza.

Wakati akiwaza hivyo, Doreen alirejea akiwa na sahani iliyokuwa na sambusa tatu na katika mkono wake wa kulia alibeba chupa ya wastani ambayo Nelly alijua ilikuwa na maziwa.

“Huyu mtoto ninavyomuona kanikubali hata nielewa kabisa kama nami sitaonesha uanaume wangu, tena akizubaa tu analambwa bakora leo hii hii,” Nelly alijisemea moyoni.

“Ukila hizi sambusa na maziwa ndiyo nitakuruhusu ukaendelee na kazi, lakini kinyume chake sitajali cha fundi Yassin wala cha nani, nitakufungia humu ndani hadi jioni,” Doreen alimwambia Nelly.

“Sista bwana unaonesha una vituko sana, haya ngoja nile sambusa kisha nikawajibike, jamaa wasije kusema nategea kazi,” Nelly alimwambia Doreen.

Nelly akiwa anatafuna sambusa ya kwanza, kwa kutumia staili yake ya kuwalainisha mademu, alimwangalia Doreen kisha akamkonyeza kimtindo, si Doreen akaachia tabasamu.

Kufuatia Doreen kufanya hivyo, Nelly alimsifia kwamba alikuwa mzuri na alijaaliwa kuwa na shepu ya usumbufu ambayo ni wanawake wachache wanayo.
“Jamani shepu ya usumbufu ndiyo shepu gani hiyo?” Doreen alimwuliza Nelly kwa kumtega japo alijua alichomaanisha.

Baada ya kuambiwa hivyo, Nelly alimwambia Doreen asimame ili amuoneshe. Mrembo huyo alisimama, ndipo Nelly naye akasimama akazishika nyonga zake na kusema:
“Unaona kiuno kama hiki kilivyo? Hebu angalia na hipsi kama hizi, hakika Doreen umeumbika mno, nikutajie vingine?”

Kijana huyo ambaye wakati huo damu ilianza kumwenda kasi na kusahau kabisa kilichompeleka kule site, alimwuliza Doreen ambaye alimwambia aendelee kwani hicho ndicho alichokuwa akikihitaji.

“Kingine hizi embe bolibo zako, mwanaume yeyote aliyekamilika akizigusa au kuzishika kabisa, atachanganyikiwa na hayo macho ni balaa tupu!” Nelly alizidi kumfagilia.
“Hivi kwa mfano nikikuruhusu uzishike utachanganyikiwa?” Doreen alimwuliza Nelly.
“Siyo kuzishika tu, kwa kuziangalia tu hapa sipo sawa,” Nelly alimweleza Doreen na msichana huyo alipotupia macho kwenye eneo analokaa ‘mkuu wa kaya’ wa Nelly alitabasamu kwani mkuu huyo alikuwa kachangamka.

Kufuatia hali hiyo, Doreen aligundua tayari Nelly alipagawa, na kwa kumchanganya zaidi alimruhusu ashike embe bolibo yake ya kushoto aone kama kweli atachanganyikiwa.

Baada ya sharobaro Nelly kuambiwa hivyo, ilikuwa sawa na mbuzi kwenda kujilaza miguuni mwa mpika supu au embe dodo kuangukia miguuni mwa mtu, hakuchelewa hata sekunde moja.

Nelly alivamia chesti a.k.a kifua kitamu cha mrembo huyo na kuishika vizuri embe bolibo ya kushoto akaanza kuiminyaminya taratibu kwa staili ya nataka-staki, Doreen akaanza kuhema na macho yake kumlegea.

Mpenzi msomaji, si unajua inavyotokea kichaa akiwa amepewa rungu nini kitakachofuatia? Licha ya Nelly kupewa ruhusa ya kuishika embe bolibo moja na Doreen, si akazitoa zote ‘out’ zikawa zinamtazama kama vile zilimwambia ‘shindwa mwenyewe.’

Kijana huyo aliyejaaliwa utundu wa malovee, mkono wake wa kushoto akawa anaichezea embe bolibo moja na kwa kutumia kinywa chake akawa anaifyonza nyingine. Acha Doreen achachawe.

Kwa kuwa msichana huyo naye alikuwa amemisi sana mambo yetu yale, naye akayavamia makazi ya ‘mkuu wa kaya’ wa Nelly, sijui akawa anayafanyaje bwana, Nelly akaanza kuhema kwa kasi.

Wawili hao ambao wakati huo walikuwa wamehamia kwenye ulimwengu mwingine, waliendelea kufanyiana vurugu zote za mambo ya chumbani zaidi kwani Nelly alimpogusa hapa, msichana huyo naye alimgusa pale.

Nelly alipogundua ile ilikuwa ni nafasi ya dhahabu ambayo hakuitegemea, alimvutia Doreen kwenye sofa walilokalia awali lakini alipotupia macho kwenye stuli akaishia kucheka baada ya kuona sambusa mbili na maziwa yakiwa nusu kwenye glasi.

“Kweli kila kitu na wakati wake, maziwa yatabaki kuwa maziwa, sambusa zitabaki kuwa sambusa, hapa ni kupeana raha tu na mtoto mkali,” Nelly alijisemea moyoni wakati huo alikwisha inyonyoa pensi ya Doreen na kumuacha mtoto huyo na nguo ambayo nashindwa kuitaja live.

Kwa kuwa nyumba hiyo ilikuwa kimya, Nelly aliamua kumchinjia baharini mtoto huyo mzuri palepale sofani lakini ile anamalizia kutoa kiwalo chake cha mwisho, akasikia akiitwa na Zakayo.


Loading...

Toa comment