The House of Favourite Newspapers

New Music: Fantasia – ‘Ugly’

0

fantasia-bet-honorsMWANADADA maarufu duniani kwenye tasnia ya muziki nchini Marekani, Fantasia ameendeleza historia yake ya kuachia ngoma zinazobamba zenye kuhamasisha mambo mbalimbali baada ya kuachia wimbo mpya aliyoupa jina la  ‘Ugly’.

 ‘Ugly’ imeandikwa na Audra Mae na Nicolle Galyon, na kutengenezwa na Ron Fair, ngoma hiyo itakuwa kwenye albamu ya tano ya mwanadada Fantasia ijulikanayo kama The Definition Of…

Fantasia ameeleza kwenye kituo kimoja cha habari nchini Marekani kuwa, video yake ipo katika hatua ya mwisho na ataiachia hivi karibuni itakavyokuwa tayari.

SIKILIZA HAPA  ‘UGLY’

Leave A Reply