New Video: Matonya – Hakijaeleweka

matonyaMKALI wa Bongo Fleva kutoka Tanga ‘mapenzi yalikozalia’, Seif Shaaban maarufu kama Matonya  ameachia video ya ngoma yake mpya wimbo unaitwa ‘Hakijaeleweka‘, humo ndani ameonekana mrembo Gigy Money, Video imeongozwa na Tone Blaze.


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment