The House of Favourite Newspapers

Ngao ya Jamii (Simba vs Namungo) Kupigwa Jumapili

0

MECHI ya Ngao ya Jamii baina ya mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Simba SC na washindi wa pili wa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), Namungo FC kuashiria upenuzi wa pazia la msimu mpya itachezwa Jumapili kuanzia Saa 9:30 Alasiri Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Jijini Arusha.

Leave A Reply