Ngoma Mpya: Rayvanny, Diamond Platnumz Kwenye ‘Tetema’ Ipo Hapa
Msanii Rayvanny akiwa na Boss wake ‘Diamond Platnumz’ toka WCB wameileta audio ya wimbo wao mpya, ‘Tetema’
Wimbo umetengenezwa na producer S2Kizzy na kumaliziwa na Lizer Classic.Unaweza ku download baada ya kusikiliza hapo chini.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Isikilize hapa.
Comments are closed.