Ngoma Mpya:Miss Bella – Sepa

 

Ni official Audio kutoka kwa Isabela Mpanda aka Miss Bella, mwana dada mahiri katika sanaa ya u miss Ruvuma mwaka 2006 na kuwa top 10 ya Miss Tanzania mwaka huo huo, ndiye aliyekuwa katika kundi la Music la Scorpion Girls, lililoundwa na wana Dada Rashida Wanjara, Baby Madaha na Jini Kabula ila kwa sasa amesimama kama Single Artist.

 

 

Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa,  ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

 

Isikilize hapa.

 

 

 

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club


Loading...

Toa comment