The House of Favourite Newspapers

Nguvu Ya Utajiri Kwa Vijana Kwa Mara Yakwanza Tanzania Walimu Wa Ukombozi Kwa Vijana Kuja Na Jambo -Video

0

Semina ya Kijana na Maisha yenye lengo la kuwaelimisha vijana kuhusu fursa za kiuchumi, afya ya akili na mahusiano, inatarajiwa kufanyika kuanzia Septemba 15 hadi Septemba 17, Bunju jijini Dar es Salaam.

Mratibu wa semina hiyo, James Mwang’amba amesema tamasha hilo litafanyika kwa siku tatu mfululizo kuanzia asubuhi mpaka jioni na kuwataka vijana kuchangamkia fursa hiyo adhimu.

Leave A Reply