Kartra

Nguvu za Mtoto Yunis Zinatisha, Mamia Wafurika Kupata Uponyaji – Video


Mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 2 na nusu,Yunisi Atieno, mkazi wa kijii cha BUKAMA, RORYA, Tanzania ameendelea kushangaza watu kwa kuendelea kuwaponya watu kwa maombi na maji, tofauti kabisa na umri wake.

 

Global TV Online imefika kwa mara nyingine kijijini hapo na kuzungumza na wagonjwa walioponywa na mtoto huyo.

Dada wa mtoto huyo amesema kuwa wapo baadhi yawatu wanaomwita mdogo wake kuwa ni Freemason jambo ambalo sio nzuri.

Dada amesema Yunis hatumii dawa yeyote ile mbali na maji ambayo mtu mwenye matatizo ya kiafya anakuja nayo kutoka nyumbani kwake, hivyo waamini kwa kumtegemea Mungu kwani uwezo huo amepewa na Mungu mwenyewe na sio mwanadamu.

Full video fuatilia Global TV Online!


Toa comment