Ni Balaa… Kila Mtu ni Mshindi!
Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc imeendesha droo ya nne ya Kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu Ni Mshindi ambapo washindi kadhaa wamejishindia zawadi mbalimbali, ikiwemo fedha taslimu.
Kupitia kampeni hii wateja wa Vodacom wanajiongezea nafasi za kushinda kila wakinunua vifurushi au kufanya miamala kupitia M-pesa Super App au kwa kupiga *150*00#.