The House of Favourite Newspapers

Ni Mfalme wa USSD Beti na Kitochi Yeyote Aliyepo Kwenye Familia ya Meridianbet ni Mfalme

0

MFALME huyu anaitwa Zamiru Mohammed kutoka Chalinze, Gwiji aliyejishindia Pesa Taslimu TZS 1,324,878/= Milioni moja, Laki tatu na Elfu Ishirini na nne, Mia nane sabini na nane, alibeti kwa dau la 2,500/= na mkeka wake ulikuwa na Odds kubwa ya 529.95.

 

Kwake haikuwa ngumu kumuua Manchester City aliyekuwa Etihad dhidi ya Brentford, huu ni ujasiri mkubwa sana, hakuishia hapo alimfuata RB Leipzig akiwa ugenini na kumpa ushindi. Napoli na Udinese akaweka GG, Kupanga ni kuchagua Beti na kitochi sasa na uwe Mfalme.

 

Mfalme Zamiru yeye anajishughulisha na biashara ndogo ndogo za uwakala wa kutuma na kutoa pesa kwa mitandao ya simu, alipopigiwa simu ya ushindi alikuwa na haya ya kusema;

 

“Mimi huwa nabeti pesa nyingi kuanzia Elfu kumi, lakini safari hii sikuwa najiamini ikanibidi nibeti kwa 2,500/= na kweli mkeka wakati ukatiki. Nina furaha kushinda pesa hizi nitazitumia kuongezea msingi wa biashara yangu”

 

“Mara ya mwisho nilikuja na Rafiki yangu kwenye ofisini za Meridianbet makao makuu, nilimsindikiza kuja kuchukua Bodaboda yake aliyoshinda kwenye promosheni ya mwezi uliopita, na mimi nikatamani kubeti na kitochi, hatimaye bahati imekuwa kwangu nimeshinda Milioni Moja na Laki tatu”. Alisema Mfalme wa beti na kitochi– Zamiru.

 

Beti na kitochi ni rahisi sana kujishindia kwani haina machaguo mengi yanayochanganya na pia dau lake ni kuanzia 250/= TZS unatandika mkeka wako wa timu unazozitaka. Piga *149*10# Kubeti sasa na Kitochi, ujipatie odds kubwa.

 

N.B Meridianbet wana promosheni nyingi zinazoendelea hivi sasa, Ukibeti kwa kitochi kwa kupiga *149*10# kwa dau la kuanzia 250/=TZS unaweza kujishindia Bajaji Mpyaa au TV ya kisasa yenye Inchi 50. Beti na kitochi sasa uwe Mfalme wa Maisha yako.

 

Leave A Reply