The House of Favourite Newspapers
gunners X

‘Nilizimia Nikaamka na Ugonjwa Wa Figo, Niokoeni” – Video

0


AMA KWELI ‘Hujafa hujaumbika’ na daima hakuna binadamu anayejua kesho. Mkasa huu wa Nuru utakuliza na pengine kukufanya ushukuru na kusaidia wengine kama njia ya zaka.

Nuru anasumbuliwa na Ugonjwa wa Figo ambao mwanzo wa ugonjwa huo kwake bado ni giza “Nilienda hospital Mlonganzila nikiwa na tatizo la upungufu wa damu, nikalazwa lakini nilipoamaka daktari akaniambia nina tatizo la Figo” – Nuru

Leave A Reply