The House of Favourite Newspapers

NEW: Nimekutana Na Hii Mpya ‘Mapochopocho’ Kutoka Kwa Size 8 Wa Kenya – (Video).

Unamkumbuka mwimbaji kutoka Kenya Size 8? Mara ya mwisho kumsikia ilikuwa lini? Kwa wale watu wangu ambao ni mashabiki wa muziki wa Kenya Size 8 ana kitu kwa ajili yenu.

Alifanya maamuzi ya kuacha kuimba muziki wa kidunia ili amtumikie zaidi Mungu kupitia Gospel Music. Safari ya mwanadada Size 8 haikuwa rahisi, baada ya kushambuliwa na Wakenya kuwa pengine game ya Gospel sio sehemu yake msanii huyo aliamua kukaa kimya kidogo na kujipanga jinsi ya kurudi upya.

This time, Size 8 (Size 8 Reborn) amerudi kivingine na kusiogeza kwetu wimbo wake mpya uitwao ‘Mapochopocho’. Kupitia social media account zake, Size 8 alisema haya kuhusu wimbo wake mpya… 

MAPOCHOPOCHO is a name i use to describe God’s blessings in my life. How beautiful he’s put my life together even when i wrong Him or disappoint Him, his love is never ending. I just find myself smiling at His goodness and abundant grace in my life. My God has been too good to me. The blessings in my life are more than I could ever imagine. No amount of words can be used to thank my God. We are all blessed but many choose to see the problems in their lives more than the blessings. Remember the air you breathe is from GOD freely given to you. Jesus died on the
cross for us while we were still sinners. A gift to the world JESUS CHRIST is from GOD. Take minute dance, praise , thank and glorify our God for all His done for you. May this song remind you how blessed you are and may it cause you to be thankful to GOD.’’ – Size 8 (Reborn).

SIZE 8 (REBORN) – MAPOCHOPOCHO.

 

IMEANDIKWA NA: Sandra Brown.

Comments are closed.