Ninaishi kwa Kujichoma Sindano Miaka 9 Sasa – Video

Huu ni ushuhuda wa mrembo Detricia Pamba anayeishi na matatizo ya Kisukari kwa miaka 9 sasa, aligundulika na ugonjwa huo wa kurithi akiwa na umri wa miaka 13.

 

Pamoja na yote anayopitia binti huyu hajawahi kujidharau na kujiona hafai, amekuwa akiamini kwenye uwezo mkubwa ulio ndani yake, na kwa kuthibitisha mtazamo wake huo amekuwa akifanya mambo mengi sana katika jamii yake.

 

TAZAMA VIDEO HAPA AKISIMULIA


Loading...

Toa comment