The House of Favourite Newspapers

Nisha kwa Baraka nimefuata penzi, si pesa

0

Nisha na Baraka (3)
Hamida Hassan

Staa wa Filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amesema kuwa sababu ya kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na Mwanamuziki Baraka Da Prince ni kuhitaji penzi la kweli na si vinginevyo.

Nisha na Baraka (2)Akipiga stori na Ijumaa, Nisha alisema kuwa watu wamekuwa wakimsengenya kwa kudai kuwa eti yeye kuwa na Baraka ni sawa na ‘kumbemenda’ lakini akajitetea kwamba penzi la siku hizi haliangalii umri, kikubwa ni penzi la kweli.

Nisha na Baraka (1)“Unaweza kuwa na mtu mzima mwenzako na msielewane lakini ukawa na ‘serengeti boy’ mkaelewana hivyo mimi sioni tatizo kuwa naye na ninampenda hatari,” alisema Nisha.

Leave A Reply