The House of Favourite Newspapers

#NishusheDarLive Pichaz: Kimeshanuka Muda Huu Dar Live

0
Kundi la madansa la Wakali Dancers likifanya makamuzi katika ukumbi wa Dar Live usiku huu.

MWISHO wa Ubishi! Unaweza kusema hivyo kwa maana nyingine katika siku huu wa Mosi muda huu watakapovamia jukwaa moja la Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live wakali kibao wanaotikisa kwa michano Bongo wakiongozwa na R.O.M.A Mkatoliki, Darassa, Stamina na Mr Blue na kumaliza ubishi wa nani mkali wa michano.

Leave A Reply