Mmoja wa viongozi wa Benki ya NMB ( wa pili kushoto) akifuatilia kilichokuwa kikiendelea katika maadhimisho 58 ya Uhuru.Benki ya NMB ni moja wa wadau wakubwa ambao wamedhamini sherehe hizo Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna (wa pili kulia) akifuatilia mambo mbalimbali ya maadhimisho Miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara na miaka 57 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yanafanyika leo katika viwanja vya CCM Kirumba Jijini Mwanza ambapo mgeni rasmi ni Rais Dkt. John Pombe Magufuli. Sehemu ya baadhi ya viongozi wa taasisi na Serikali walipokuwa wamekaa wakifuatilia sherehe hizo.Kaimu Mkurugenzi wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna (wa pili kushoto katika jukwaa la kulia) akitabasamu wakati akifurahia matukio yaliyokuwa yakiendele.