The House of Favourite Newspapers

NMB YATOA MSAADA WA MABATI, MADAWATI, KOMPYUTA TEMEKE

Sehemu ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Mabatini wakiwa katika hafla hiyo ya kupokea msaada.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mabatini, Bi. Victoria Joseph (kulia) akitoa shukrani kwenye hafla hiyo.
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Badru Idd (wa pili kulia) akizungumza kabla ya kukabidhi misaada hiyo.
Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi (kulia) akitoa shukrani kwa Benki ya NMB kwenye hafla hiyo.
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Badru Idd (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi (wa pili kulia)  msaada wa mabati 200 kwa Shule ya Msingi Mabatini iliyopo wilayani Temeke jijini Dar es Salaam. Wengine kulia ni walimu wa Shule ya Msingi Mabatini wakishuhudia.
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Badru Idd (kushoto) akimkabidhi Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Lusubilo Mwakabibi (kulia) msaada wa kompyuta tano kwa ajili ya Shule ya Msingi Tandika iliyopo wilayani Temeke jijini Dar es Salaam. 
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam na Zanzibar, Badru Idd (kulia) akipokea cheti cha shukrani kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mabatini, Bi. Victoria Joseph (kushoto) mara baada ya Benki ya NMB kukabidhi msaada wa mabati 200 kwa shule hiyo.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.