The House of Favourite Newspapers

NSSF yaendesha kongamano la waajiri wa taasisi mbalimbali mkoani Tanga

0

3Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza wakati akifungua kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za Kiserikali na zisizokuwa za kiserikali zilizokuwa na makao makuu yake mkoani Dar es Salaam lililofanyika jana mkoani Tanga kwenye hotel ya Tanga Beach,Picha na Mwandishi Wetu.
4Meneja Matekelezo na Kumbukumbu wa NSSF Makao Makuu, Maryam Muhaji akizungumza kwenye kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za Kiserikali na zisizokuwa za kiserikali zilizokuwa na makao makuu yake mkoani Dar es Salaam lililofanyika mkoani Tanga kwenye hotel ya Tanga Beach,Picha na Mwandishi Wetu.
6Baadhi ya Washiriki wakiwa kwenye kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za Kiserikali na zisizokuwa za kiserikali zilizokuwa na makao makuu yake mkoani Dar es Salaam lililofanyika mkoani Tanga kwenye hotel ya Tanga Beach wakimsikiliza Mgeni Rasmi Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori,Picha na Mwandishi Wetu.5Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa kongamano la waajiri wa Taasisi mbalimbali ikiwemo za Kiserikali na zisizokuwa za kiserikali zilizokuwa na makao makuu yake mkoani Dar es Salaam lililofanyika mkoani Tanga kwenye hotel ya Tanga Beach,Picha na Mwandishi Wetu.

Leave A Reply