The House of Favourite Newspapers

Nuh, Kalama waandaliwa ‘mchambo’

0

Mastaa Watembelea Shinda Nyumba (3)Shilole

Stori: Hamida Hassan

Wale wadada waliokuwa wakiunda Kundi la Scorpion Girls, Baby Madaha, Isabela Mpanda na Miriam Jolwa ‘Kabula’ wameungana na Zuwema Mohammed ‘Shilole’ kutoa wimbo unaokwenda kwa jina la Marioo.

ISABELA.pngIsabela

Ndani ya wimbo huo utakaokwenda sambamba na video yake wamepewa madongo yao wasanii Kalama Bakari ‘Luteni Kalama’ (aliyekuwa mpenzi wa Isabela) na Naftal Mlawa ‘Nuh Mziwanda (zilipendwa wa Shilole).

madahaBaby Madaha

“Wimbo unaitwa Marioo ni jibu la Wimbo wa Jike Shupa wa Nuh. Utakuwa ni madongo mwanzo mwisho na kwenye video Shilole na mimi ndiyo tutakaoshine zaidi ila Kabula na Madaha wao watakuwa wanatushangaa kwa kupenda Marioo, watu wakae tu mkao wa kula,” alisema Isabela na kuongeza kuwa, kwa sasa kundi lao limesimama chini ya meneja wao mpya, Catherine Ambakisye ‘Mama Loraa’.

Nuh-mziwandaNuh Mziwanda.

Leave A Reply