Nyangumi akutwa amekufa ufukwe wa Coco Dar

nyangumi 2

Wakazi wa Dar wakichangamkia kitoweo na mafuta ya nyangumi huyo.

nyangumi

Wananchi wakizidi kuchukua mafuta na kitoweo cha nyangumi kwenye ufukwe wa Coco.

BAADHI ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam jana walionekana kuichangamkia nyama ya nyangumi aliyekutwa amefariki katika ufukwe wa Coco.

Mbali na kitoweo wananchi hao pia walichukua mafuta ya nyangumi huyo wakidai ni dawa ya watoto.

Nyangumi huyo anakadiriwa kuwa na tani 20.


Loading...

Toa comment