The House of Favourite Newspapers

Nyumba ya Mjomba wa Rais Magufuli Kubomolewa na Mwekezaji – Video

NYUMBA inayodaiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alikuwa akitembelea mara kwa mara alipokuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, inadaiwa kuwa itabomolewa na mwekezaji hivi karibuni.

 

Kwa mujibu wa wakazi wa Mtaa wa Kiungani, Kurasini jijini Dar es Salaam wamesema nyumba hiyo inayodaiwa kuwa ni ya mjomba wa Rais Magufuli aitwaye mzee Nyanda iliyopo maeneo hayo, pamoja na nyumba zingine 44 zimepewa notisi ya kubomolewa eneo hilo na mwekezaji huyo ambaye alitajwa na wananchi hao.

 

Global TV imefunga safari mpaka eneo hilo ambapo majirani hao wameeleza A-Z kuhusu mwekezaji huyo kubomoa nyumba hiyo tena bila malipo.

TAZAMA VIDEO KAMILI WAKIFUNGUKA HAPA

Comments are closed.