Nyumba Yateketea Kwa Moto Sinza Kumekucha (Picha +Video)
MOTO mkubwa ulizuka usiku wa kuamkia leo Agosti 28, 2020 na teketeza nyumba na mali zilizomo ndani katika maeneo ya Sinza Kumekucha jirani na Uwanja wa Seven Up, jijini Dar es Salaam.
Taarifa za awali zinadai kuwa chanzo cha moto huo ni shoti ya umeme.
Kikosi cha zimamoto kiliwahi kufika eneo la tukio na kuzima moto huo na hakuna majeruhi wala vifo.
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx