The House of Favourite Newspapers

Nyumba zilizopo kwenye Bonde la Mkwajuni, Dar zabomolewa

0

1.Tingatinga-likiwa-kazini-kuvunja-nyumba-hizo-zilizodaiwa-kuwa-ndani-ya-hifadhi-ya-barabara.

Bomoabomoa katika Bonde la Mkwajuni, Dar leo.

Wakazi waishio katika Bonde la Mkwajuni leo wamebomolewa nyumba zao ikiwa ni mwendelezo wa bomoabomoa inayoendelea katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Baadhi ya wananchi waliokubwa na kadhia hiyo wamepaza sauti zao juu ya kuvunjiwa nyumba zao huku wakilalamika kuwa hawakupewa taarifa yoyote ya kuwataka wahame eneo hilo kutoka uongozi wa serikali ya mtaa huo.

BOMOA (1)Wananchi wakitaharuki.BOMOA (2)Bomoabomoa ikiendelea mapaa yakiezuliwa.BOMOA (3)BOMOA (5)Bomoabomoa ikiendeleaBOMOA (4)taharuki.
BOMOA (6) BOMOA (7) BOMOA (8) BOMOA (9) BOMOA (10) BOMOA (11) BOMOA (12) BOMOA (13)

Leave A Reply