The House of Favourite Newspapers

Odama Afunguka Kuzushiwa Kifo

0

 

MWANAMAMAmwenye adabu zake katika kiwanda cha Bongo Movies, Jenipher Kyaka ‘Odama’, amefunguka kuwa haikumuumiza kuzushiwa kifo, kwani kila mtu ana chuki zake.

 

Odama amesema kuwa haikumuathiri sana japo alijaribu kufikiria upeo wa watu, kwa sababu kila mtu ana watu wanaomchukia.

 

“Unajua kila mtu ana watu wanaomchukia, maana hata kitu kile kilifanywa na mtu ambaye aliona ni sawa kufanya hivyo, haikuniathiri sana kwa sababu ndiyo kwanza imeniongezea muda mrefu wa kuishi,’’ alisema Odama.

Stori: Happynes Masunga

Leave A Reply