Ofa Kabambe ya Karibu kwa Wateja Wapya wa Meridianbet
Kama wewe ni mpenda michezo ya kubashiri au kasino ya mtandaoni na bado hujawahi kujiunga na Meridianbet, basi huu ndio wakati sahihi kabisa wa kuchangamkia nafasi hii ya kipekee. Meridianbet inakuletea ofa ya kuvutia kwa wateja wapya, ambapo mchezaji yeyote atakayejisajili kwa mara ya kwanza na kuweka salio kuanzia TSH 1,000 na kuendelea, atapata zawadi kubwa. Mara tu baada ya kuweka salio na kuanza kucheza michezo ya kubashiri au sloti za kasino, utajipatia hadi 150% bonasi ya michezo au hadi mizunguko 150 ya bure kwenye sloti ya Pia Premium kutoka Expanse.
Zawadi hizi hutolewa kulingana na kiwango cha salio la kwanza unaloweka. Yaani, kama ukiweka kati ya TSH 1,000 hadi 4,999, utapokea mizunguko 20 ya bure. Ikiwa utaweka kati ya TSH 5,000 hadi 14,999, basi utapata mizunguko 50 ya bure. Kwa wale wanaoweka kati ya TSH 15,000 hadi 29,999, zawadi yao ni mizunguko 100 ya bure. Na kama utaweka zaidi ya TSH 30,000, basi unazawadiwa mizunguko 100 ya bure kwenye sloti ya Pia Premium.
NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Ili kuweza kufurahia promosheni hii, mchezaji anapaswa kuzungusha mara mbili kiasi alichoweka kwa mara ya kwanza ndani ya siku 6 tangu tarehe ya usajili. Ni muhimu kufahamu kuwa kama hautaweka pesa ndani ya siku hizo sita, basi hutakidhi vigezo vya kushiriki. Aidha, uzungushaji utahesabika tu kwenye michezo ya sloti za kasino, na si kwenye michezo mingine kama Crash, Live Dealer au bidhaa nyingine za kasino.
Baada ya kushinda kupitia mizunguko ya bure, pesa utakayopata itahitaji kuzungushwa mara 40 kwenye sloti ya Pia Premium kabla ya kuhamishiwa kwenye akaunti yako ya pesa halisi. Mchezaji pia atapata taarifa kupitia app notification kuhusu kiasi cha pesa kinachoweza kuhamishwa. Lakini ni muhimu kukumbuka kuwa iwapo mchezaji atajiondoa kwenye promosheni kabla ya kutimiza vigezo, basi mizunguko yote ya bure itafutwa na hatapata faida yoyote kutoka kwenye ofa hii.
Kwa hiyo, huu ni wakati wa kuchukua hatua. Jisajili sasa kupitia Meridianbet, weka salio lako la kwanza, na uanze kufurahia michezo ya kasino ya mtandaoni huku ukipata zawadi kabambe zenye faida kutoka Meridianbet.