The House of Favourite Newspapers

OFA! Tsh 250,000 Tu, Unapata Laptop ya Kisasa Kabisa

JE, UNAHITAJI Kompyuta au vifaa vyake? Don Technologies Ltd ni wauzaji wakubwa wa Computers za kisasa aina zote pamoja, smartphones na vifaa vyake (Computer accessories). Don Technologies Ltd tunao Mawakala nchi nzima hivyo unaweza kuagiza Computer au simu janja ikakufikia kwa haraka zaidi.

 

Bei zetu ni nafuu kinoma, kuanzia Tsh 250,000/= unapata laptop ya kisasa kabisa. Mzigo mpya umeingia, wasiliana nasi kupitia +255 767 154 615 AU +255 657 199 181.

Instagram: @don_technologies_ltd_dar

 

Comments are closed.