Okwi Kajiunga na Timu ya Gwiji Maradona

ALIYEKUWA mchezai wa Klabu ya Simba Sc ambaye pia ni mchezaji wa Timu ya Taifa ya Uganda, Emmanuel Okwi amejiunga na timu ya Fujairah Footbal Club inayoshiriki Ligi Kuu ya Falme za Kiarabu (UAE), imeelezwa.

Nyota huyo Mganda anakwenda kucheza katika timu hiyo ya Ligi Kuu UAE iliyowahi kufundishwa na gwiji la soka duniani, Diego Maradona.

Maradona kutoka Argentina, aliifundisha Furjairah kwa kipindi cha msimu wa 2017/18 na baada ya hapo hakuendelea. Kwa sasa kikosi hicho kinanolewa na kocha Abdulla Maesfer raia wa UAE.

HISTORIA YA OPERATION ENTEBBE (Part 1)

HISTORIA YA OPERATION ENTEBBE (Part 1)

Loading...

Toa comment