The House of Favourite Newspapers

Ombeni Sefue ang’olewa Ikulu

0

sefue

Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue .

Kijazi

Aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi John William Kijazi.

Rais John Pombe Magufuli, amemteua Mhandisi John William Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, kuchukua nafasi ya Ombeni Sefue ambaye atapangiwa kazi nyingine. Kabla ya uteuzi huo, Mhandisi Kijazi alikuwa Balozi wa Tanzania nchini India.

Leave A Reply