The House of Favourite Newspapers

Ombi la Muna kwa Rais Magufuli – Video

MUIGIZAJI wa Bongo Movie na mfanyabishara, Munalove amesema endapo atapata fursa ya kukutana na Rais Dkt. John Magufuli atamshauri aruhusu watoto wadogo ambao wanaumwa waruhusiwe kukatiwa bima ya afya ili kuokoa uhai wao.

 

Muna amesema watoto wengi wanapoteza maisha yao kwa kukosa huduma ya afya kwani si wazazi wote wana vipato vya kuwahudumia watoto wao hasa kwa wale wenye magonjwa makubwa, lakini bima hiyo itakuwa mkombozi kwao.

VIDEO: MSIKIE MUNA AKIFUNGUKA HAPA

Comments are closed.