The House of Favourite Newspapers

Ommy Dimpoz kufanya ziara nane nchini Kenya

0

2_8Mkali wa muziki wa Bongo fleva, Omari Nyembo ‘Ommy Dimpoz’.

MKALI wa muziki wa Bongo Fleva anayebamba na ngoma ya Wanjera, Omari Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ anatarajiwa kufanya ziara katika miji mbalimbali nchini Kenya kuanzia mwanzoni mwa Desemba.

Akichonga na Global Showbiz, Ommy Dimpoz alisema kuwa ziara hizo zitaambatana na ngoma mpya anayotarajia kuiachia Desemba Mosi mwaka huu.

“Nimekaa muda kidogo tangu niachie ngoma ya Wanjera na kwa sasa mashabiki wangu wasubirie ujio wa ngoma mpya kuanzia Desemba mwaka huu.Pia mbali na ngoma hiyo, natarajia kufanya ziara nane nchini Kenya,” alisema Dimpoz.

Leave A Reply