The House of Favourite Newspapers

Video: Ona Jumba La Mabilioni Alilojizawadia Mrembo Lilian, Lina Chumba Cha Ibada

Mrembo Lilian Mmari ambaye amegeuka gumzo baada ya kujizawadia mjengo mkali

Mrembo Lilian Mmari @lim_microfinance_co_ltd ambaye amegeuka gumzo baada ya kujizawadia mjengo mkali kama zawadi ya kutimiza miaka 39, amesema ukiachilia mbali watu wachache wanaocomment vibaya kumhusu yeye mitandaoni, wengi wameonesha kufurahishwa na mafanikio ake ambapo wanamtafuta ili awafundishe jinsi alivyoweza kutimiza ndoto zake hizo.

Mrembo Lilian Mmari (kulia) akifanya mahojiano na Mtangazaji wa Global TV, Imelda Mtema.
Muonekano wa nje wa mjengo mkali wa Mrembo Lilian Mmari