The House of Favourite Newspapers

Ooh…madam martha!

0

MWALIMU wa zamu aliendelea na ukaguzi kwa wanafunzi, ilikuwa ni siku ya usafi, Jumatatu kama kawaida, ambapo karibu kila mwanafunzi alikuwa mstarini, kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.

“Mmh! Wewe hebu sogea kidogo hapa,” sauti ya mwalimu wa zamu, Madam Martha ilisikika kwa upole sana baada ya kumfikia John, mwanafunzi pekee aliyekuwa na sifa ya usafi na utanashati uliopitiliza, si tu kwa darasa lake, bali aliongoza kwa shule nzima ya sekondari Katoro.

“Naam mwalimu,” John alisema baada ya kusogea eneo ambalo mwalimu wake alikuwa amemuelekeza.

“Samahani, hiyo pafyumu uliyopuliza inaitwaje?”
“Ooh, hii inaitwa Purity for Men,” alijibu John ambaye wanafunzi wenzake pamoja na baadhi ya walimu walizoea kumuita J, ikiwa ni kifupi cha jina lake la John.
“Mmh, ulinunua shi’ ngapi..?”

“Hata sijui, nililetewa na mjomba kutoka Dar, kwa nini unauliza Madam, imeku ‘tachi’ siyo?” alijibu John kwa maneno ya utani baada ya kugundua mwalimu wake ameielewa pafyum aliyokuwa amejinyunyuzia.

John, licha ya usafi aliokuwanao, pia alikuwa ni kijana sharobaro kupindukia ambaye alihamia shuleni hapo katika kidato cha pili miezi sita iliyopita, kabla walimu wapya kutoka vyuoni kupangiwa shuleni hapo, akiwemo Madam Martha.

“Oke, sikiliza, naomba utakuja ofisini wakati wa mapumziko, sawa…?” aliagiza Madam Martha kwa sauti ya chini sana na kuendelea na ukaguzi kwa wanafunzi wengine.

Tabia yake ya usafi, utanashati, usharobaro ukiongezea na u-handsome aliokuwanao, John aliendelea kuwa mwiba mkali mioyoni mwa wasichana wengi shuleni hapo na hata baaadhi ya walimu wa kike wakiwemo wenye umri mkubwa sawa na mama yake, walijikuta wakiwa njia panda kwa kijana huyo aliyezaliwa na kukulia jijini Dar, kabla ya wazazi wake kuhamishiwa kikazi Katoro.

“Naam mwalimu,” alisema John baada ya kufika ofisini kwa walimu, muda wa mapumziko ulipofika.“Ooh, John, sasa sikiliza kwa sasa nina kazi nyingi sana, si unapafahamu nyumbani kwangu…?”

“Ndiyo, si unapoishi..?” alijibu John huku akimtupia swali mwalimu huyo.
“Eeh,” alijibu Madam Martha huku akimtupia jicho la ‘sasa nisingekuwa naishi hapo ningepaita kwangu’.

Mwisho wa mazungumzo yao, Madam Martha na John walikubaliana kuwa kijana huyo afike nyumbani kwa mwalimu huyo, jioni ya siku hiyo wakati wa kurudi shuleni kwa ajili ya masomo ya zaida.

Madam Martha alikuwa akiishi na mdogo wake aliyekuwa akisoma shule ya msingi Lutozo, ndani ya Kijiji cha Katoro aitwaye Deodatha.
Wote walikuwa wasichana warembo, walipishana kwa umri tu lakini kwa uzuri walichuana, warefu, wembamba wastani wenye viuno vyembamba vilivyobeba hipsi pana.

Kama alivyoelekezwa na mwalimu wake, jioni wakati wa kurudi shuleni, John aliamua kupita nyumbani kwa Madam Martha, japo hadi kwa wakati huo hakuwa amejua alichoitiwa zaidi ya kuhisi huenda ni maswali juu ya pafyumu ambayo mwalimu alishindwa kuyauliza ofisini kutokana na mwingiliano wa walimu.

“Hodi… hodi wenyewe….” John alibisha hodi mfululizo baada ya kufika nyumbani kwa Madam Martha.

“Subiri kidogo…,” sauti ya Madam Martha ilisikika.
Muda mfupi baadaye, Madam Martha alitoka, lakini akiwa amevalia kanga tupu huku akichuruzikwa na maji hali iliyoonesha alitoka kuoga muda huohuo.
“Karibu jamani…”
“Asante madam…”

“Karibu, pita ndani ndiyo natoka kuoga,” alisema Madam Martha huku akifunua pazia la mlangoni na kumkaribisha John.

Ile wanazama ndani tu, Madam Martha akawa anajikung’uta maji ya sikioni kwa kupiga mguu mmoja chini na kusababisha wowowo kucheza kwa ‘kuvaibreti’ kwa kupishana, ukijumlisha na ulaini wake, John aliyekuwa nyuma alijikuta katika wakati mgumu…
“Mh! Madam naye bwana…hivi anajua kama mwanafunzi wake niko kwa nyuma,” John alisema moyoni huku akikimbiza macho pembeni na kuyarudisha kiaina…

“Pupupuu…pupuuuu,” madam Martha alipiga tena mguu ili maji yatoke. Safari hii, John alichanganyikiwa zaidi maana sasa kanga ilishikana na wowowo na lilicheza kupita mtu ambaye angelichezesha…

“Da!” John alilalamikia moyoni mwake tu…
“Karibu John…karibu ukae hapo,” madam Martha alimkaribisha John huku na yeye akikaa kwenye kochi lingine.

Alikaa kwa kujiachia kiasi kwamba, kanga ilijiachia kidogo, sehemu kubwa ya mapaja yake ikawa wazi, John akachungulia kwa mbali na kugeuka kuangalia mlango mkubwa alioingilia…

“Hapa si ndiyo kwangu John, lakini ulikuwa hujawahi kufika wewe!”
“Niliwahi kuja siku moja na Daudi, ulimtuma kitabu cha Sayansi…”

“Oooh! Nakumbuka, sawasawa,” alisema madam Martha huku akiangalia pembeni kisha akamwangalia John, wakakutana macho, madam Martha akaachia tabasamu na kusema…

Je, unajua nini kiliendelea? Usikose kusoma wiki ijayo kwenye gazeti hilihili.

Leave A Reply