The House of Favourite Newspapers

Orodha ya Wakurugenzi Walioteuliwa na Magufuli Leo – Video

RAIS John Magufuli amefanya mabadiliko ya wakurugenzi wa wilaya, manispaa, miji na majiji na ambapo ameteua wakurugwenzi wapya 41 na kuwahamisha wengine 19.

 

Uteuzi huo umesomwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi, John Kijazi, leo Agosti 13, 2018, Ikulu jijini Dar es Salaam.

Halmashauri ya Misenyi Mkurugenzi ni Innocent Mbandwa

Jiji la Mbeya Mkurugenzi ni James Kasusura

Halmashauri ya Malinyi Mkurugenzi ni Mussa Elias Mnyeti

Mkurugenzi wa Jiji la Arusha ni Maulid Madeni

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Temeke ni Lusibilo Mwakabili

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ubungo ni Beatrice Kwai

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kigamboni ni Mwilabu Nyabusu

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kondoa mkoani Dodoma ni Mustapha Yusuph

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Moshi ni Tatu Seleman Kikwete

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kakonko ni Masumbuko Stephano

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Katavi ni Ramadhan Mohamed

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Butiama ni Mugalane Alphonce

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kyela ni Lucy Mganga

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilombelo ni Eng. Stephan Kaliwa

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilosa ni Asailiwe Lucas

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ukerewe ni Esther Chaula

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Meru ni Emmanuel Mkongo

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Simiyu ni Michael John

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Ikungi ni Justice Laurence

 

VIDEO: FUATILIA UTEUZI HUO HAPA

Comments are closed.