ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2019

OFISI ya Rais Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imetangaza majina ya wanafunzi wote waliohitimu kidato cha nne na kufaulu ambao wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano na sita na vyuo vya ufundi stadi nchini kwa mwaka 2019.

 

Wahitimu 110,331 kati ya 113,825 wamechaguliwa kujiunga kidato cha tano na vyuo vya elimu ya ufundi mwaka 2019. Waliochaguliwa kidato cha tano wanatakiwa kuripoti shuleni Julai 8, na endapo mwanafunzi hatoripoti ndani ya siku 14, nafasi yake itachukuliwa na aliyekosa nafasi.

SOMA HAPA ===> WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA TANO 2019

Loading...

Toa comment