Oscar Oscar Aeleza Safari ya Mafanikio ya Lady Jaydee Katika Muziki – Video
Mwanahabari Oscar Oscar, ameeleza kuwa Msanii Lady Jaydee ameishi katika maisha ya Muziki yaliyopitiliza na ameweza kukaa katika ‘trending’ Kwa wakati wote wa Muziki wake
Ameyasema hayo katika miaka 25 ya Mwanamuziki Lady Jay Dee inayofanyika katika ukumbi wa Super Dom, Masaki.