P Diddy sasa atarajia mtoto

BAADA ya kuibuka tetesi kisha ikawa kweli, hatimaye mkongwe katika gemu la Hip Hop kutoka Marekani, P Diddy (49) anatarajia kupata mtoto kwa mrembo, Lori Harvey (22).  Ishu ya mkongwe huyo kutarajia kupata mtoto imekuja siku chache baada ya wawili hao kunaswa mapumzikoni huko Cabo, Mexico.

Katika picha mbalimbali zilizosambaa mitandaoni, zinamuonesha Lori akiwa ameshika tumbo lake kama vile anaonesha ujauzito na nyingine zikimuonesha P Diddy akiwa amelishika tumbo la Lori. Mwezi uliopita P Diddy aliungana na familia ya Lori pamoja na kukutana na wazazi wake wakati wapo mapumziko nchini Italia


Loading...

Toa comment