Pablo: Utakuwa Mchezo Mgumu, Lakini Tupo Tayari -Video
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Pablo leo Novemba 13, 2021 akizungumzia maandalizi ya mchezo wa kesho Ijumaa kati ya Simba SC dhidi ya Ruvu Shooting amesema
“Tunategemea mchezo mgumu lakini tuko tayari kwa mchezo wa kesho. Tunajua ni mchezo muhimu na tutapambana ili tupate alama tatu,”-
“Tunawaheshimu wapinzani wetu lakini tumejipanga kushinda. Naamini mtaona mabadiliko.”- Gadiel Michael.