×JB ala shavu nono la ubalozi

 Staa ‘the big name’ kwenye sinema za Kibongo, Jacob Stephen ‘JB’. Gabriel Ng’osha Shavu! Staa ‘the big name’ kwenye sinema za Kibongo, Jacob Stephen ‘JB’…

SOMA ZAIDI

Nelly Muosha Magari wa Posta-6

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale kama ambavyo Zakayo na Haruni walivyokuwa hawaamini sharobaro Nelly angeweza kufanya kazi ya ujenzi, Doreen aliyeshangazwa na jambo hilo…

SOMA ZAIDI

Waziri aliyekuwa Mchawi-6

ILIPOISHIA IJUMAA: Alipomaliza alitia mate kwenye viganja vyake akavisugua tena kisha akanipaka mimi usoni. Kwa vile babu alikuwa anakula ugoro, uso wangu ukawa unanuka ugoro….

SOMA ZAIDI

Njia kumi kusaidia kupunguza unene-3

Tunaendelea kufafanua njia za kupunguza unene: Kama usipotafuna chakula vizuri au ukila huku unakunywa sana maji au vinywaji vingine, chakula hakimeng’enywi vizuri tumboni. ULAJI WA…

SOMA ZAIDI

Jini Mauti-5

ILIPOISHIA Wakati akiwa amesimama tu, ghafla ngoma zikaachwa kupigwa, watu waliokuwa wakicheza wakaacha. Kwa mbali mbele yake akaonekana mwanamke mnene, alikuwa akitembea huku mkononi ameshika…

SOMA ZAIDI

Chuzi Ndo Hilo, Hakuna Kuonja!-12

ILIPOISHIA GAZETI LA IJUMAA: “Unajua wewe unakosea kitu kimoja,” alisema mwanamke huyo lakini mara simu ya mume wake ikaita, akaomba kuipokea… “Pokea baby,” alisema Musa……

SOMA ZAIDI

The Angel of darkness-11

Shambulizi la kigaidi linatokea kwenye kituo kikubwa cha biashara nchini Kenya, Kikuyu Mall na kusababisha vifo vya watu wengi, wakiwemo Wakenya, Watanzania na watu wengine…

SOMA ZAIDI


Simba waichapa Kagera Sugar 3-1

TIMU ya Simba SC leo imeibuka kifua mbele baada ya kuichapa Kagera Sugar mabao 3-1 katika mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara iliyopigwa katika…

SOMA ZAIDI

Taswira za 40 ya mtoto wa Diamond

Maandalizi yakiwa yamepamba moto nyumbani kwa Diamond, Madale jijini Dar. Wanafunzi wa Madrasa nao wapo kwa ajili ya 40 ya Tiffah.  Eneo itakapofanyika 40 ya…

SOMA ZAIDI