×


We baba fanueliii!!!-15

ILIPOISHIA Alichokifanya ni kumsogelea, alipomfikia tu, kwanza akambipu kwa kuupeleka mkono kiunoni mwa mwanamke huyo, mkono huo ukapokelewa kwa tabasamu pana. Akaona yes, mambo yamejipa….

SOMA ZAIDI

Walinzi wa rais Burkina Faso wasalimu amri

Wanajeshi wakilinda doria katika viunga vya jiji la Ouagadougou. Walinzi wa rais waliopindua serikali nchini Burkina Faso wamekubali kurejesha madaraka kwa serikali ya kiraia na kurejea…

SOMA ZAIDI
No Picture

Mabilionea wasio na huruma 43

AIBU inakaribia kuibuka, baada ya wawekezaji wakubwa wawili walioalikwa kwa ajili ya dhifa iliyoandaliwa na rais kushindwa kutokea huku muda nao ukizidi kusonga mbele. Hakuna…

SOMA ZAIDITambwe amvaa Kiiza, ampiga mikwara

Mshambuliaji wa Yanga Mrundi, Amissi Tambwe. Wilbert Molandi, Dar es Salaam LICHA ya ‘hat trick’ aliyoipiga mshambuliaji mpya wa Simba Mganda, Hamis Kiiza, lakini mshambuliaji wa…

SOMA ZAIDI


Kajala Ammwagia Zari Minoti!

Imelda Mtema KIMENUKA tena! Katika kile kinachoonekana kama ni kejeli kwa shosti wake wa zamani, ambaye sasa picha hazipandi, staa wa filamu Kajala Masanja, mwishoni…

SOMA ZAIDI

Baba amrusha mwanaye ghorofani afa!

Mabastola akiwa na mwanaye enzi za uhai wao. Mwandishi Wetu STRESS! Mtanzania mmoja aliyefahamika kwa jina la utani la Mabastola, amefariki dunia jijini Istanbul nchini…

SOMA ZAIDI


MATOKEO KIDATO CHA 6


NAFASI ZA KAZI NCHINIGlobal TV Online


ZINAZOSOMWA ZAIDI