×

Nafasi Ya Kazi TotalEnergies, Fuel Card Manager

  Job Description HSEQ: Respect of the Golden rules and all the HSE rules and standards of TOTAL by all...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Kuaga Mwili wa Waziri Kwandikwa – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ajumuika na waombolezaji wengine kushiriki ibada ya kuaga...

READ MORE

Chama Abariki Luis Kujiunga na Al Ahly

KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Clatous Chama, amefunguka kuwa atamsapoti mchezaji mwenzake na rafiki yake mkubwa, Luis Miquissone ikiwa nyota huyo...

READ MORE

Taratibu za Kufungua Kesi ya Mbowe Zimekosewa, Kesi Yaahirishwa

KESI ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake watatu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es...

READ MORE

Mbowe Afikishwa Mahakamani Kisutu – Video

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, na wenzake watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kukiwa na ulinzi mkali leo...

READ MORE

Mashabiki Simba Watoa Neno Kuhusu Dewji, Manara

  UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa unaunga mkono jitihada zote za uwekezaji zinazofanywa na mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi...

READ MORE

Kitenge Aondoka Wasafi, Arejea EFM

Uongozi wa Wasafi Media umetangaza mtangazaji wake maarufu, Maulid Kitenge anaondoka katika kituo hicho. Mkurugenzi wa Wasafi, Diamond Platinum amemshukuru...

READ MORE

Polisi Wamsaka Mbunge Aliyejiuzulu Konde

WAKATI aliyekuwa mbunge mteule wa jimbo la Konde, Sheha Mpemba Faki akieleza sababu nne zilizomfanya kujiuzulu nafasi hiyo, ikiwemo kupokea...

READ MORE

Mo Atishia Kujiondoa Simba

TAARIFA zinaeleza kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, ameomba kujiondoa katika baadhi ya majukumu ya...

READ MORE

Olimpiki Na Ngao Ya Hisani Kukupa Ushindi Mnono

Wakati mashindano ya Tokyo Olimpiki 2020 yakielekea ukingoni, baadhi ya Ligi Soka barani Ulaya kuanza kutimua vumbi wikiendi hii na...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la Championi na Gazeti la Ijumaa kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Simba Waua Wanafunzi Watatu Arusha

WANAFUNZI watatu wa Shule ya Msingi Ngoile wilayani Ngorongoro, Mkoa wa Arusha, wameuawa kwa kushambuliwa na Simba, walipokuwa wanatafuta mifugo...

READ MORE

Live: Un Yapeleka Waangalizi Kesi Ya Mbowe,Mashtaka Yaingiza Watu Matatani | Front Page…

 KARIBU Utazame ‘255 FRONT PAGE’ Kipindi bora cha Asubuhi kutoka Global Radio, ujipatie uchambuzi wa masuala mbalimbali ya kisiasa...

READ MORE

Headlines za Magazeti ya Leo Aug. 6, 2021

Hapa tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Agosti 6, 2021. Usipitwe na Matukio,...

READ MORE

Breaking: Messi Anaondoka Barcelona, Wenyewe Wathibitisha

TAARIFA zilizotolewa na Klabu ya Barcelona jioni hii zinaeleza kuwa, nyota wao Lionel Messi raia wa Argentina anaondoka klabuni hapo...

READ MORE

Mwenyekiti Adaiwa Kumbaka Shemeji Yake

Mwenyekiti wa kitongoji cha Kanami, katika kijiji cha Isangijo wilayani Magu mkoani Mwanza, Robert Mfungo anashikiliwa na polisi kwa tuhuma...

READ MORE

Ridhiwani Ashiriki Mkutano wa Halmashauri ya CCM Bagamoyo

  Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Mhe. Ridhiwani Kikwete leo Agosti 05, 20201 ameshiriki Mkutano wa Halmashauri ya Chama Cha...

READ MORE

RC Makalla Azindua Kampeni Ya Usajili Walipakodi Wapya

  Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amezindua Kampeni ya usajili wa walipakodi Wapya ikiwa ni...

READ MORE

Chidi Benz: Riziki Anatoa Mungu Sio Mo Wala Barbara

Rapa Chidi Benz King Kong ameshea comment yake kwa Haji Manara baada ya kumaliza ‘press’ yake na waandishi wa habari...

READ MORE

Kesi ya Mbowe: Atakayeandamana Kukamatwa

Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro limesema halitosita kuchukua hatua kali dhidi ya kundi lolote ambalo litafanya maandamano kwa kushinikiza kuachiwa...

READ MORE