×

Nunua na Soma Gazeti la SpotiXtra kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la spotixtra kirahisi zaidi popote ulipo, ndani na nje ya Tanzania kwa Tsh 300/= iOS 👉 https://apple.co/38HjiCx Android 👉 http://bit.ly/38Lluc8...

READ MORE

Rais Samia Kuchanjwa Covid-19, Ikulu

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Doroth Gwajima amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Bodaboda na Ulinzi Shirikishi Kariakoo Wapigwa Msasa Kudhibiti Uhalifu

    MKUU wa Upelelezi Wilaya ya Kipolisi ya Kariakoo, Dkt. Ezekiel Kyogo amewaongoza viongozi wa ulinzi shirikishi na waendesha...

READ MORE

Simanzi! Mazishi ya Anna Mghwira – Video

Waziri wa TAMISEMI hapa Nchini Bi Ummy Mwalimu amewaongoza mamia ya Wananchi Wilayani Arumeru Mkoani Arusha katika kuaga Mwili pamoja...

READ MORE

Mashtaka Aliyosomewa Mbowe Mahakamani ni Haya

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashtaka...

READ MORE

Anayedaiwa Kuchoma Nyumba ya Mpenzi Wake Anaswa

Msichana aliyejulikana kwa jina la Tina mkazi wa eneo la Mbezi Beach, Jijini Dar es Salaam amekamatwa na polisi kwa...

READ MORE

Billion 2.3 Kukarabati wa Kiwanda cha Unga Arusha

BODI ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (Cereals and Other Produce Board of Tanzania – CPB), ina mpango wa kutumia Shilingi...

READ MORE

R. Kelly na Tuhuma Mpya za Ulawiti

MWANAMUZIKI maarufu wa R&B nchini Marekani, Robert Sylvester Kelly ‘R. Kelly’ amekabiliwa na shutuma mpya za kumdhulumu kimapenzi mvulana mwenye...

READ MORE

Fisi Asababisha Kifo cha Mtoto, Ajeruhi Watatu

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida fisi aliingia ndani ya nyumba na kumnyakua mtoto wa mwaka mmoja na kisha kukimbia naye...

READ MORE

Mukoko Awaangukia Yanga “Sikukusudia”

KIUNGO mkabaji wa Yanga, Mukoko Tonombe kupitia ukurasa wake wa Instagram amewaomba radhi mashabiki pamoja na benchi la ufundi kwa...

READ MORE

Breaking News: Mbowe Afikishwa Mahakamani

  MWENYEKITI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe anadaiwa kufikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar...

READ MORE

Huawei Kumwaga Mamilioni Wenye Vipaji vya Dijitali

Huawei imepanga kuwekeza dola za kimarekani milioni 150 katika kukuza vipaji vya dijitali katika kipindi cha miaka mitano ijayo, mpango...

READ MORE

Serikali Yawatoa Hofu Mabalozi Mapambano ya Uviko 19

SERIKALI  imewaeleza Mabalozi njia mbalimbali inazozitumia kudhibiti maambukizi ya virusi vya corona ikiwa ni pamoja na kuridhia uingizwaji wa chanjo...

READ MORE

Breaking: Aliyetuhumiwa Kumteka Mo Dewji Aachiwa Huru

  Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemfutia kesi na kumwachia huru dereva taksi Mousa Twaleb aliyekuwa...

READ MORE

Beki Matata Afungukia Usajili Wake Simba, Yanga

BEKI wa Kati na Nahodha wa Biashara United, Abdulmajid Mangalo, amesema kuwa Yanga bado wapo kwenye mazungumzo na uongozi wake....

READ MORE

Kocha Yanga amkataa beki wa Azam

UNAAMBIWA kuwa Kocha wa Yanga Nassredine Nabi ndiye alieukataa usajili wa beki wa Azam FC, Yakubu Mohamed ambaye hapo awali...

READ MORE

Rais Amfuta Kazi Waziri Mkuu, Asimamisha Bunge kwa Siku 30

Rais wa Tunisia, Kais Saied amemfuta kazi waziri mkuu wake, Hichem Mechichi na kusitisha shughuli zote za bunge kwa muda...

READ MORE

Anna Mghwira Aagwa Arusha

Shughuli za kumuaga aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira zinaendelea nyumbani kwake Manyata Jijini Arusha huku tahadhari...

READ MORE

RC Makalla: Kuvaa Barakoa Lazima, Marufuku Kujaza Abiria

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amewataka Wananchi kuchukuwa tahadhari dhidi ya Ugonjwa wa Corona ambapo...

READ MORE

Yanga Yaifunika Simba Kigoma

WAKATI mchezo wa Ligi Kuu Bara ukipigwa jana kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma, Yanga walionekana kuifunika Simba. Kabla mchezo...

READ MORE