×


DUMA: Mimi ni Bosi, Gabo Muigizaji!

MSANII wa filamu Bongo, Daudi Michael ‘Duma’ amefunguka juu ya tetesi zinaendelea mitandaoni kwamba yupo kwenye bifu zito na msanii mwenzake Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’…

SOMA ZAIDI


Hamisa: Mimi, Mimba Tena? Si Ingetoka!

MWANAMITINDO maarufu na mzazi mwenziye mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Hamisa Mobeto amefunguka kuwa hana ujauzito kama watu wanavyoeneza uvumi huo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii….

SOMA ZAIDIMENEJA: WEMA HAKUKATWA UTUMBO

MENEJA wa muigizaji Wema Sepetu, Neema Ndepanya amefungukia madai ya msanii wake kukatwa utumbo nchini India ili kujipunguza mwili kuwa hayana ukweli, ni uzushi tu….

SOMA ZAIDI

Simba Mpya Ya Mo Dewji Kufuru

SIMBA walianza kumsainisha Marcel Kaheza wa Majimaji, akafuatia Adam Salamba wa Lipuli. Mashabiki wakaguna…aaah jamaniieee watacheza wapi wote hao mastraika?   Huku na huku mara…

SOMA ZAIDI
BABA DIMPOZ AMLIPUA BABA DIAMOND

DAR ES SALAAM: HII ni vita ya wakubwa! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya baba wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, Faraji Nyembo…

SOMA ZAIDI

Straika Simba Aitwa Kenya

STRAIKA chipukizi wa Simba, Moses Kitandu, amepata dili la kujiunga na timu ya Nakumatt ya Kenya baada ya kuonyesha kiwango kizuri katika michuano ya SportPesa…

SOMA ZAIDI


Uwoya Ashangaa Kupewa Makavu Insta!

STAA wa filamu Bongo, Irene Uwoya, amewafungukia watumiaji wa Instagram wanaokosoa vazi lake la ufukweni. Mrembo huyo ambaye ni mke wa msanii Dogo Janja amesema…

SOMA ZAIDI
WABUNGE WA CCM WAMUAGA KINANA

Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge wa CCM, Kassim Majaliwa amemkaribisha Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Bashiru Ally na kumuaga mtangulizi wake Abdulrahman Kinana.  …

SOMA ZAIDI