Maria Corina Aibuka Mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel 2025, Trump Akosa
Kamati ya Tuzo ya Amani ya Nobel imemtangaza Maria Corina Machado, kiongozi wa upinzani na mwanaharakati wa demokrasia kutoka Venezuela, kuwa mshindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel kwa mwaka 2025.
Akizungumza mjini Oslo, Mwenyekiti wa…
