The House of Favourite Newspapers
gunners X

Siku 70 za Miss Tanzania lupango!

Miss Tanzania Mwaka 1996 na aliyekuwa mkurugenzi kwenye Benki ya Stanbic, Shose Mori Sinare. Ojuku Abraham, Amani DAR ES SALAAM: Leo ni siku ya 70 tangu Miss Tanzania Mwaka 1996, Shose Mori Sinare aanze kusota lupango katika Gereza la…

Marekani yamwaga mbwa Airport Dar

Gladness Mallya na Ojuku Abraham, RISASI Mchanganyiko DAR ES SALAAM: Katika kudhibiti biashara ya usafirishaji wa madawa ya kulevya nchini,  Marekani imeleta mbwa wenye uwezo wa hali ya juu katika kutambua madawa ya kulevya na nyara za…

Khalid Chokoraa Azuru Global

    Mwanamuziki wa muziki wa Dansi Bongo Khalidi Chuma 'Chokoraa', akishuka kwenye gari lake tayari kwa kuingia ndani ya ofisi za Global Publishers LTD, kufanya ziara yake. Chokoraa akiwa kwenye chumba cha mapokezi akiomba maelekezo kutoka…

Undani kifo cha Kinyambe

Marehemu James Peter Nsemwa 'Kinyambe' enzi za uhai wake. Stori: Ojuku Abraham, RISASI JUMAMOSI DAR ES SALAAM: WAKATI mwili wa msanii wa vichekesho James Peter Nsemwa maarufu kama Kinyambe ulitarajiwa kuzikwa jana katika Makaburi ya…