The House of Favourite Newspapers
gunners X

DULLY: WATAKUJA, WATANIACHA!

MKONGWE wa muziki wa Bongo Fleva, Dully Sykes amesema moja kati ya mafanikio yake kimuziki ni kuwa mvumilivu na kutoa ngoma kuendana na wakati na ndiyo sababu hata wasanii wengi wanakuja kwenye gemu na kuchuja wakimuacha akiendelea…

ROMA AWAFUNGUKIA WANAOFELISHWA NA NDOA

ALIINGIZA somo la ‘Mathematic’ kwenye ulimwengu wa Muziki wa Hip Hop, mashabiki wakaingia ‘class’ kupiga msuli, akawaita ‘Wanakondoo’ kisha akajitangaza kwamba ndiye ‘Mr. President’ wa ‘Tanzania’ mwaka ‘2030’, kila mtu akamtakia kheri…

NIKKI WA PILI AMCHANA KANYE WEST

UNAPOZU-NGUMZIA wanamuziki wenye elimu ya juu Bongo, huwezi kuacha kulitaja jina la mwanamuziki, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’, ambaye ni miongoni mwa wakali wanaounda Kundi la Weusi, akiwa pamoja na kaka yake John Simon ‘Joh Makini’ na…

Ben Pol: Nimeanza na Kiss Daniel

MWANAMUZIKI Bernard Paul ‘Ben Pol’, hivi karibuni amefunguka kwamba ujio wake mpya na mwanamuziki kutoka Nigeria, Kiss Daniel unaojulikana kwa jina la Zai, ambao yupo mbioni kuuachia ni mwanzo wa kolabo zake za kimataifa kwa mwaka huu.…

ETI ROSA REE ANACHUKIA KUTONGOZWA

M WANAMUZIKI wa kike ambaye anafanya vizuri kwa sasa kupitia anga la muziki wa Bongo Flava, Rose Robart ‘Rose Ree’, amefunguka kuwa hakuna kitu ambacho hakipendi kama kutongozwa. Akichonga na Showbiz Xtra, Rosa Ree alisema kuwa…

Maua Sama Atamani Kuimba Gospo

HITMAKER wa Ngoma ya Mahaba Niue, Maua Sama amefunguka kati ya vitu anavyotamani kwenye muziki kwa sasa ni kujiingiza katika Muziki wa Injili ‘Gospo’. Akichonga na Showbiz Xtra, Maua anayebamba na Ngoma ya Nakuelewa alisema…

GIGY MONEY: NIMEKUA, NAACHA UTOTO!

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amefunguka kuwa kwa sasa ameachana na mambo ya kitoto ili kuwa mama bora kwa mwanaye anayetarajia kumpata. Akizungumza na Showbiz Xtra, Gigy alisema kutokana na kwamba…

PAPII KUACHIA NGOMA MFULULIZO

MKALI wa Dansi Bongo, Johnson Nguza ‘Papii’ amesema kuanzia mwezi huu wa Februari, ataanza kuachia ngoma mfululizo kwani tayari wameshaanza kurekodi nyimbo za kutosha. Papii alisema mpaka sasa tayari amesha-fanya ngoma nne ambazo…

Batuli: Mastaa Tumrudie Mungu

MSANII mwenye mvuto Bongo Muvi, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amewasihi wasanii wenzake wajaribu kumrudia Mungu japo mara moja kwa wiki. Akizungumza na Showbiz Xtra, Batuli alisema kuwa anatambua mastaa wengi wamesahau…