The House of Favourite Newspapers
gunners X

SportPesa Yaendelea Kumwaga Zawadi

KAMPUNI ya SportPesa kwa kushirikiana na Kampuni ya Mtandao wa Simu za mkononi Tanzania, Tigo wanatoa zawadi za simu aina ya Samsung A10s kila siku, lakini mwisho wa mwezi huu Oktoba 30, mwaka huu, watawazawadia wateja wake gari mpya aina…

Mbao FC Yaweka Rekodi SportPesa

TIMU ya Mbao FC ya Mwanza imefanikiwa kuweka rekodi katika michuano ya SportPesa Cup kufuatia kuwatoa mabingwa watetezi wa michuano hiyo Gor Mahia kwa kuwafunga penalti 4-3 ambao walitwaa kombe hilo mara mbili mfululizo. …

SPORTPESA YAMWAGA ZAWADI MOSHI

Zuberi Maeda (19) mkazi wa Kiterini, Moshi, mkoani Kilimanjaro,  amebahatika kuibuka kuwa mshindi wa Bajaj wa droo ya 71 ya promosheni ijulikanayo kama Shinda Zaidi na SportPesa inayoendeshwa na kampuni ya michezo ya kubashiri…